Ewe Mola mtakie amani Ali bun Mussa Ridhwa Imamu Taqii na hojayako kwa viumbe wanaoishi juu ya ardhi na waliopo chini, msadikishaji, shahidi, amani nyingi kamilifu, takatifu, za kuendelea, kama amani ulizo mtakia mmoja wa mawalii wako
10 Dhulqaada 1441h/ 2020m
Mash-hadi takatifu, Iran.
photos_comments